Jurgen Klopp; Tulieni nina mipango na Benteke.

Christian Benteke
Kocha mkuu wa timu ya Liverpool maarufu kama majogoo wa jiji Jurgen Klopp amesema ana mipango ya muda mrefu na mshambuliaji wake hatari bwana Christian Benteke. Klopp aliyasema hayo alipokuwa kwenye mkutano na waandishi wa habari na kuulizwa hatima ya Benteke ni nini? maana kwanzia Klopp awe kocha mkuu wa timu hiyo, Benteke amefanikiwa kuanza mechi nane tu na nyingine akiingia kama mchezaji wa akiba na hata gemu ya Jumapili waliyopigwa bao 1-0 na Manchester United aliingia zikiwa zimesalia dakika tisa tu akichukua nafasi ya James Milner. Hata hivyo Klopp amejitetea kuwa kutochaguliwa kwa Benteke mara kwa mara kusiwatishe mashabiki kwa kuwa yeye kama kocha mkuu bado anajaribu kutengeneza vikosi imara kwa mechi muhimu na bado anamuamini Benteke kuwa ni mshambuliaji aliyekamilika.

Christian Benteke.
"When asked if Benteke had a future, Klopp replied: ‘You are too quick in your judgements. If I worked like this, I would send players who miss chances to the next club or whatever. Stay cool. Of course he has a future. That is not a question.
‘What we have to do is think what team fits together for the special game. For the next game it could be different. We have to think about how we create chances. First of all we cannot hope that we can get the ball into the box and then maybe Christian will finish it".
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment