Thierry Henry kuifundisha Arsenal msimu ujao.

Thierry Henry.
Taarifa zilizotolewa jana na mtandao rasmi wa klabu ya Arsenal zinasema kuwa gwiji wa zamani wa klabu hiyo Thierry Henry atarudi kwenye klabu hiyo msimu ujao lakini awamu hii sio kwa kazi ya ukocha wa timu ya watoto bali ni kwa kazi ya kuwa kocha msaidizi wa timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 18. Thierry Henry amekuwa akizifundisha timu za watoto za Arsenal kwa muda ili kupata uzoefu kwenye kazi hiyo na sasa amekwisha kukabidhiwa leseni yenye Grade A na UEFA na sasa atakuwa kocha msaidizi wa U18 ya Arsenal kwanzia msimu ujao.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment