REAL MADRID NA ATLETICO MADRID MARUFUKU KUSAJILI KWA VIPINDI VIWILI VIJAVYO.

Klabu za jiji la Madrid zimepatwa na adhabu kali kutoka Shirikisho la soka duniani FIFA. Klabu za Real Madrid na Atletico Madrid zimefungiwa kusajili wachezaji kwa vipindi takribani viwili kutoa kipindi hichi kinachoendelea sasa hivi. Adhabu hiyo imekuja kutokana na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usajili ambazo zimevunjwa na vilabu hivyo kwa nyakati tofauti na huku tukidokezwa kuwa ukiukwaji huo ni wa kusajili wachezaji ambao bado ni watoto. Real Madrid wanatakiwa kulipa kiasi cha paundi 249,000 huku Atletico Madrid wao wakitakiwa kulipa kiasi cha paundi 622,000.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment