Carzola aanza mazoezi.

Santiago Carzola akiwa mazoezini.
Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal, Arsen Wenger ametoa taarifa zinazoashiria kurudi kwa kiungo wake mahiri mhispaniola Santiago Carzola. Wenger amesema kuwa Carzola na Wilshere wameshaanza mazoezi mepesi ya kukimbia na muda si mrefu kutokea hivi sasa watarudi kwenye kikosi cha kwanza kwa ajili ya mazoezi magumu kwa ajili ya kuwa fiti kwa mechi zilizopo mbele yao haswa mwezi huu wa pili. Wenger alisema kuwa mshambuliaji wake Danny Welbeck anaweza kuwepo kwenye mchezo wa FA wiki ijayo dhidi ya Hull City maana kwa sasa anaendelea vizuri na anafanya mazoezi magumu.

Danny Welbeck akipambana kwenye mechi ya U21 dhid ya Brighton wiki end iliyopita.

Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment