 |
Jose Mourinho akisalimiana na Louis Van Gaal mwaka 2014. |
Kocha wa zamani wa vilabu vya Real Madrid, Inter Mian, FC Porto na Chelsea Jose Mourinho amewadokeza marafiki zake wa karibu kuhusu hatma yake kama kocha. Taarifa zisizo rasmi kwenye mitandao mingi ya habari za kuaminika zinaeleza kuwa siku za hivi karibuni Jose amewaeleza rafiki zake wa karibu timu atakayoifundisha msimu ujao kuwa ni Manchester United na kusema kuwa suala la yeye kuhusishwa na klabu ya Manchester United inayofundishwa na mholanzi na pia ni mwalimu wake wa soka Louis Van Gaal kwa sasa halipaswi kupewa kipaumbele kwa maana bado kocha huyo ni kocha halali wa klabu hiyo na anapaswa kuheshimiwa kwa kazi anayofanya.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment