Inaripotiwa kuwa mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na mcheza soka maarufu duniani kuliko wote Cristiano Ronaldo anataka kununua Apartment kwenye mjengo wa mgombea urais wa Marekani Donald Trump na gharama zake zinakadiriwa kuwa zaidi ya dola milioni ishirini na tatu ($23m). Nyota huyo wa Real Madrid alishanunua tena Apartment nyingine mwaka jana kwenye mjengo huo huo kwa kiasi cha dola milioni 18 ($18m). Apartments hizo za Ronaldo zipo kwenye jengo la tano lililopewa jina la "AFTER US TYCOON" na Apartment hii mpya anayoitaka Ronaldo ipo katika floor ya 63 na hapo mwanzo walikuwa wakiishi wazazi wa Donald Trump.
ANGALIA PICHA KIBAO ZA MJENGO HUO.
 |
Sehemu ya kuingilia ndani (entrace hall). |
 |
The master bedroom. |
 |
Sehemu ya nje ya muonekano wa Empire State Building. |
 |
The view of the Central park. |
 |
A view out of one corner of the flat. |
 |
The living room. |
 |
Another view of the living room. |
 |
The dining room. |
 |
A second living room. |
 |
A bedroom. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment