Manchester City na Arsenal zatolewa kwenye mbio za ubingwa.
-Klabu za Arsenal na Manchester City zimetolewa kwenye mbio za ubingwa na kocha wa Southampton Donald Koeman. Koeman alikuwa akihojiwa kwenye kituo cha television cha Sky Sports na alikuwa akichambua mwenendo wa ligi ambapo aliamua kutoficha ukweli na kuamua kusema kuwa kwa sasa Arsenal na Man City tunaweza kusema sio tena wagombania ubingwa maana wameshaachwa kwa zaidi ya pointi kumi na viongozi wa ligi hiyo Leicester City, Pia Koeman amesema ligi hiyo kwa sasa imebakia mikononi mwa Leicester City na Totenham Hotspur.
0 comments:
Post a Comment