Manchester United yapata nguvu kwa majeruhi wake kupona.


Klabu ya Manchester United imepata nguvu kuelekea mwisho wa msimu kwa majeruhi wake wawili kupona na kuanza mazoezi. Taarifa za ndani ya klabu hiyo zimeripoti kuwa mabeki wawili wa timu hiyo wameanza mazoezi jana, wachezaji hao waliopona ni Ashley Young ambaye alikuwa nje ya uwanja kwanzia mwezi January kwenye ushindi dhidi ya Liverpool, Young ameanza mazoezi jana pamoja na kinda wa klabu hiyo Cameron Borthwick-Jackson. Kupona kwa wachezaji hao ni faraja kubwa kwa kocha wa klabu hiyo Louis Van Gaal.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment