Sanchez ataja kitu kinachomnyima usingizi.

Alexis Sanchez.
Mshambuliaji hatari wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Chile Alexis Sanchez ameongea na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kati ya vitu ambavyo kwa sasa vinamnyima usingizi ni ukame wake wa mabao, Sanchez anasema kuwa asipofunga magoli kwa ajili ya klabu yake anajihisi kuwa yeye ndiye anayeikwamisha klabu yake kupata makombe. Alexis alirudi kwenye ubora wake kwenye mechi dhidi ya Totenham Hotspur wikiendi iliyopita ambapo alifunga bao la pili la kusawazisha.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment