 |
Paul Scholes. |
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Paul Scholes ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka amesema kuwa hapendi kusikia uvumi wa kocha maarufu duniani Jose Mourinho kuja Manchester United. Scholes amesema uvumi huo umekuwa ukiondoa hari ya wachezaji kufanya vizuri na hata kumnyima kocha wa sasa Louis Van Gaal kufanya kazi yake vizuri kwa ustadi alionao, Pia Scholes alisema kuwa hana tatizo lolote na kocha wa sasa Louis Van Gaal japokuwa amekuwa akikosoa timu yake ya Manchester United.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment