Wenger awaonya mashabiki wa Arsenal.

Arsen Wenger.
Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Arsen Wenger akiongea na waandishi wa habari jana jioni ametupa lawama zake kwa mashabiki wa timu hiyo, akisema kuwa kutoipa sapoti ya kutosha timu hiyo kunaweza kuleta madhara makubwa kwa wachezaji kucheza chini ya viwango vyao kwa kuwa watakuwa wakicheza bila kujiamini. Wenger anasema klabu yake ilicheza vizuri mchezo wa Jumamosi dhidi ya Spurs na akasisitiza kuwa hategemei kufungwa tena msimu huu maana wameshakataa kupoteza mchezo tena. Arsenal wapo nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi huku wakiwa nyuma kwa pointi nane kwa viongozi wa ligi hiyo Leicester City.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment