(Video) Real Madrid vs Eibar 4-0


Real Madrid imefanikiwa kuichapa klabu ya Eibar mabao manne kwa sifuri huku Cristiano Ronaldo akiweka historia ya kipekee baada ya kufunga bao moja lililomfanya kuwa mchezaji wa pekee aliyewahi kucheza la liga na kufunga zaidi ya mabao 30 kwa misimu sita mfululizo.

Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment