Wenger awaweka nyota wake wawili sokoni.


Taarifa za ndani ya klabu ya Arsenal zinasema kuwa Arsen Wenger yupo tayari kusikiliza ofa nzuri zitakazowahusisha nyota wake wawili waingereza Alex Oxlade-Chamberlain na Kieran Gibbs. Nyota hao wa Kiingereza wamekuwa na maisha yasiyokuwa mazuri hivi karibuni katika klabu ya Arsenal kitu kinachofanya waozee benchi. Klabu ya Southampton na Manchester City zinatajwa kumuwania Oxlade-Chamberlain kwa karibu huku kukiwa bado hakuna taarifa za klabu yoyote inayovutiwa na Gibbs ambaye amepoteza namba kwa Nacho Monreal.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment