 |
Eden Hazard |
|
 |
Loic Remy score |
|
Maneno rahisi tunayoweza kusema ni kwamba matajiri wa London a.k.a watoto wa Josee Mourinho hawakamatiki, wamefanikiwa kuwakandamiza majirani zao wa London timu ya totenham kwa mabao matatu kwa bila (3 - 0) yaliyofungwa na Eden Hazard katika dakika ya 19, Didier Drogba katika dakika ya 22 na lile la mfaransa Loic Remy la dakika ya 73 yalitosha kabisa kuendelea kuiweka Chelsea kileleni kwa tofauti ya pointi 6.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment