 |
Sergio Aguero |
|
.jpg) |
Pablo Zabaleta |
|
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza Man City wamezidi kufanya kweli baada ya wiki end iliyopita kuwaadhibu vibaya Southampton, na usiku huu wameendelea kutoa kipigo kizito kwa timu ya Sunderland iliyowatoa jasho viongozi wa ligi Chelsea, Man City imewatandika Sunderland (Paka weusi, black cats) kwa magoli manne kwa moja (1-4), Ilikua ni Sunderland iliyoanza kupata bao katika dakika ya 19 kupitia kwa mshambuliaji wao mahiri Wickham baada ya goli hilo dakika mbili zilimtosha Aguero kuisawazishia timu yake kabla Stefan Jovetic kuandika bao la pili katika dakika ya 39, Sunderland wakazidi kupoteana na ndipo Pablo Zabaleta akatawandika bao la tatu katika dakika ya 55 na bila huruma katika dakika ya 71 Sergio Aguero akahitimisha karamu hiyo ya mabao 4 kwa 1.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment