Zidane ampa somo Cristiano Ronaldo.

Zidane na Ronaldo.
Kocha wa Real Madrid ambaye alikuwa staa wa timu hiyo na hata kuweza kuwapa makombe mbalimbali likiwemo la klabu bingwa ulaya na ambaye kwa sasa ni kocha mkuu wa klabu hiyo Zinedine Zidane Zizzou juzi alikuwa akimpa somo staa wake wa sasa wa kikosi hicho na si mwingine ni Cristiano Ronaldo. Zidane alikuwa akimfundisha Cristiano Ronaldo namna nzuri ya kupiga mipira ya adhabu. Cristiano alikuwa akifanya mazoezi ya kupiga mipira ya adhabu na ndipo kocha wake huyo alipopita karibu yake na kumtania akimwambia angalia namna mipira ya adhabu inavyopigwa. Zidane na Ronaldo walishindana kwa kupiga mipira kumi ambayo mingi Zidane alifunga ila Ronaldo alibahatika kufunga miwili tu.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment