 |
Lionel Messi akikabidhiwa tuzo yake. |
Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi mwezi huu amekuwa mchezaji bora wa mwezi January na amekabidhiwa tuzo yake na uongozi wa ligi hiyo ya La liga. Messi ambaye ameshinda kila tuzo ya binafsi hapo mwanzo hakuwahi kushinda tuzo hii japokuwa amekuwa kwenye ubora wa hali ya juu katika misimu iliyopita ukilinganisha na huu wa sasa. Messi anaungana na mchezaji mwenzake wa FC Barcelona Neymar Jr kuwa ndio wachezaji pekee walioshinda tuzo hiyo kwa miaka ya hivi karibuni.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment