Lionel Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli sita kwenye msimu mmoja kwa kutumia mipira ya adhabu tangu mwaka 2006/2007 Ronaldinho alivyofanya hivyo. Messi alipiga mpira wa adhabu na kufunga kwenye mechi ya jana dhidi ya Sevilla.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment