(+Video) Thierry Henry; Arsenal hawaonyeshi kama wana hari ya ubingwa kama Leicester.

Thierry Henry.
Gwiji wa zamani wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa na sasa akiwa kama mchambuzi wa soka, Thierry Henry ameeleza hisia zake kuhusu ubingwa wa ligi kuu ya uingereza inayoendelea kwa sasa na ikitoa picha ya kushangaza kwa klabu kubwa kushindwa kuonyesha uwezo wao halisi. Henry amependa kuizungumzia klabu yake ya zamani kwa kuwa ndiyo klabu iliyokuwa ikipewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo msimu huu, Henry anasema kuwa Arsenal haionyeshi kama wana hari ya ubingwa inayotakiwa kama waliyonayo klabu ndogo inayofanya vizuri kwa sasa ya Leicester City, anasema Leicester wameonyesha kuwa wana hari ya kuchukua ubingwa kwa kushinda mechi ngumu zote na ndivyo klabu inayotafuta ubingwa inavyotakiwa kuwa na si vinginevyo kama Arsenal wanavyocheza siku hizi.

Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment