 |
Fulana zinazoonyesha kuwakejeli Arsen Wenger na Harry Kane. |
Imefahamika kuwa kuna uhuni unaendelea nje ya uwanja wa klabu ya Chelsea na unaweza kuleta madhara makubwa kama hatua stahiki zikichukuliwa na vyombo husika. Imefahamika kuwa kuna baadhi ya maduka yanauza fulana zinazoonyesha kumdhihaki kocha wa klabu ya Arsenal ambaye ni kocha wa mahasimu wao wa jiji la london pamoja na mchezaji mahiri wa klabu ya Totenham Hotspur, Harry Kane. Fulana hizo zinawaonyesha wahusika hao wakiwa katika hali isiyo halisi na pia ikiwa na maneno ya kejeli. Taarifa hizi pia zinakumbusha ni jinsi gani mashabiki wa Chelsea wamekuwa na utovu wa nidhamu na ubaguzi wa hali ya juu, pia ikikumbukwa siku si nyingi zilizopita Chelsea ilikumbwa na ubaguzi wa rangi uliofanywa na mashabiki wao kule Paris Ufaransa kwa yule shabiki mwenye asili ya Afrika.
GAZETI LA TIMES LILIRIPOTI TAARIFA HIYO.
One of the T-shirts featured Kane dressed up as a Hasidic Jew with the slogan: “He’s one of your own”. Tottenham fans, who often face anti-Semitic chants, sing “he’s one of our own” about Kane.
The other T-shirt contains a picture of Wenger wearing hotpants and the slogan: “With a pack of sweets and a cheeky smile”, which is the beginning of a cruel song that is sung by many fans in which he is called a paedophile.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment