Baada ya kuichapa Manchester united Klopp anena haya.

Wachezaji wa Liverpool wakishangilia bao dhidi ya Manchester United.
Baada ya kuilaza Manchester United kwa mabao mawili kwa bila (2-0) kwenye uwanja wa Anfield, kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amesisitiza kuwa bado wana uwezo wa kuwa kwenye ubora wa hali ya juu zaidi watakapo kutana katika mechi ya marudiano pale Old Trafford. Mechi yao ya jana ilikuwa ni ya ligi ya klabu bingwa ndogo ya ulaya maarufu kwa jina la Europa League, kwenye mechi hiyo Liverpool walifanikiwa kupata mabao mawili kutoka kwa Roberto Firmino na Daniel Sturridge.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment