Hiddink amjibu baba yake Hazard.

Eden Hazard.
Kocha wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink amejibu tuhuma zilizotolewa na baba wa nyota wa klabu hiyo Eden Hazard, Hiddink amesema tuhuma zilizotolewa na mzee huyo aitwaye Thierry ni za kweli na hana tatizo nazo. Baba yake Hazard juzi alisema kiwango kibovu kinachoonyeshwa na mtoto wake ni kwa sababu amekuwa akilazimishwa kucheza huku akiwa na majeruhi, Hiddink amejibu kwa kusema kuwa ni kweli Hazard amekuwa akicheza huku akiwa anasumbuliwa na maumivu. Chelsea leo itakuwa uwanjani ikipambana na Everton katika uwanja wa Goordison Park kwenye kombe la FA.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment