Elneny; Nipo tayari kuanza.

Mohamed Elneny.
Kiungo mkabaji na pia mshambuliaji kutoka nchini Misri ambaye anakipiga katika klabu ya Arsenal Mohamed Elneny ameanza kufurahia maisha katika klabu ya Arsenal na ameamua kufunguka na kusema kuwa yupo tayari kwa ajili ya kucheza kikosi cha kwanza, maneno hayo ya Elneny yamekuja baada ya kujumuishwa na kocha wake kwenye kikosi kilichocheza na Totenham Hotspur Jumamosi hii na kupata suluhu. Kwenye mchezo wa Jumamosi Elneny alionyesha kiwango kizuri na inaonekana ameanza kumshawishi kocha wake kwa kiwango alichokionyesha, Elneny anategemewa kuanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Hull City kwenye kombe la FA.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment