
Mgombea urais wa Marekani na tajiri mkubwa katika taifa hilo bwana Donald Trump akiongea kwenye mdahalo katika jimbo la North Carolina anasema mashabiki wengi wa Arsenal wamemchoka Wenger maana amekuwa akiwaumiza kwa muda mrefu, Trump anasema yeye ni shabiki namba moja wa Arsenal na amekuwa akitegemea timu hiyo kuzishinda angalau timu ndogo lakini mambo yamekuwa sivyo, anasema Wenger ameumiza nafsi nyingi duniani mojawapo ikiwa yangu, Inakuwaje timu kama Manchester United na Chelsea zinakufunga nyumbani na ugenini? Bado haijatosha unafungwa na Swansea. Trump anasema Wenger anafaa kuwa kuzimu au kuwa muigizaji wa filamu za kutisha Hollywood, Pia anasema kama tatizo ni pesa, Yeye yupo tayari kumlipa kocha mwingine kwa miaka zaidi ya hamsini (50) ijayo kama Wenger atakubali kuicha timu yetu. Trump anakumbukwa kwa kauli tata moja ikiwa ni ile aliyoitoa baada ya Arsenal kuifunga Man United bao tatu kwa bila ambapo aliwaambia kuwa kwa sasa wanatakiwa kutengeneza timu moja ambayo watajichanganya na Chelsea kama wanataka kuifunga Arsenal.
0 comments:
Post a Comment