 |
Shabiki wa Spurs akitokwa na damu baada ya vurugu. |
Mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa ligi kuu ya Uingereza kati ya Totenham Hotspur na Arsenal imemalizika hivi punde kwa suluhu ya mabao mawili kwa mawili (2-2). Upande wa pili wa mechi hiyo ulikuwa ni baina ya mashabiki wa timu hizo na kumetokea vurugu kali zilizowahusisha mashabiki wa pande zote mbili ila polisi walifanikiwa kuwatuliza. Kuna baadhi ya picha zinaonyesha matukio mbalimbali na ni kama zifuatavyo;
 |
Mashabiki wa Spurs wakitulizwa na polisi. |
 |
Polisi wakifanya kazi yao. |
 |
Shabiki wa Spurs akitokwa na damu baada ya vurugu kali. |
 |
Polisi wakifanya kazi yao. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment