Real Madrid wapo tayari kuuza nyota kumi mwisho wa msimu.

Cristiano Ronaldo.
Klabu ya Real Madrid wapo tayari kuuza nyota wake takribani kumi, Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinadai kuwa Rais wa klabu hiyo Florentino Perez yuko tayari kumuuza mchezaji nyota wa timu hiyo Cristiano Ronaldo kwa Paundi milioni 60 pamoja na nahodha wa klabu hiyo Sergio Ramos kwa ada ya paundi milioni 20 mpaka 25, wachezaji hao watauzwa kwa kuwa wamekwishaomba kuondoka klabuni hapo. Hao ni miongoni tu ila inasemekana kuwa klabu hiyo ina mpango wa kuwauza wachezaji wafuatao ili kujenga kikosi kipya,
Sergio Ramos.
WACHEZAJI WATAKAOWEKWA SOKONI NI PAMOJA NA;
1. Pepe.
2.Isco.
3.James.
4.Casemiro.
5.Danilo.
6.Kroos.
7.Jesse.
8. Arbeloa.

Taarifa hizi zimetolewa na mtandao wa Sport pamoja na Goal.com.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment