 |
Arda Turan. |
Kiungo wa kimataifa wa Uturuki na klabu ya FC Barcelona Arda Turan ametoa maneno ambayo yametafsiriwa kuwa kejeli kwa klabu ya Arsenal, Turan anasema timu kucheza vizuri hiyo ni nzuri kwa Arsenal na sio Barca. Kauli hii tata imetafsiriwa tofauti na wachambuzi wa soka duniani wengine wakisema kuwa Turan ameikosea Arsenal heshima na wengine wakisema kauli hiyo ni sawa kwa sababu ameongea ukweli ulio wazi. Turan anasema niliwahi kufikiria siku moja nitakuja kucheza Barcelona na imekuwa kweli niko hapa sio kwa sababu ya Lionel Messi ila ni kwa ajili ya kushinda mataji na Messi anabaki kuwa mchezaji bora niliyewahi kumshuhudia duniani.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment