Wenger aweka wazi hatima yake Arsenal.

Arsen Wenger.
Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Arsen Wenger ameamua kufunguka na kuweka wazi hatima yake klabuni hapo haswa katika kipindi hiki kigumu anachopitia, kipindi ambacho mashabiki wengi wa Arsenal wanataka kusikia nini hatima ya timu yao maana ni kama wamemchoka kocha huyo. Wenger amesema kwa sasa hafikirii kuachana na klabu hiyo na anategemea msimu ujao atakuwa na timu hiyo na atapambana zaidi, Pia amesema yeye huwa haangalii wengine wanatakaje yeye huwa anaangalia ni nini anapaswa kufanya kwa ajili ya timu. Wenger anaingia mwaka wa mwisho kwenye mkataba wake wa miaka mitatu na Arsenal.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment