Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake dhidi ya Roma.
Real Madrid imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye kombe la ligi ya mabingwa ulaya (UEFA) baada ya kuikung`uta As Roma mabao mawili kwa bila huku mshambuliaji hatari Cristiano Ronaldo akizidi kutokomea kwenye mbio za ufungaji bora wa ligi hiyo kwa kupiga bao moja na kufanya idadi yake ya mabao kwenye mashindano hayo kuwa 13 katika mechi 8, bao lingine la Real Madrid lilifungwa na James Rodriguez.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment