Ozil alipigilia msumari wa mwisho kwenye ushindi wa mabao manne kwa moja dhidi ya Italia. Mabingwa wa dunia Ujerumani walianza kupata bao kupitia kwa Toni Kroos kabla ya Mario Gotze kuongeza la pili na Hector kupiga bao la tatu huku Mesut Ozil akimalizia karamu hiyo ya mabao kwa mkwaju wa penalti dhidi ya Italia ambao bao lao la kufutia machozi lilifungwa na Stephan El Shaarawy.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment