 |
Olivier Giroud. |
Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Arsen Wenger amesema kuwa mshambuliaji wake wa kifaransa Olivier Giroud amerudi kwenye ubora wake na anategemea makubwa kutoka kwake kwenye mechi zijazo, Wenger amenena maneno hayo baada ya Giroud kufunga mabao mawili dhidi ya Hull City katikati ya wiki walipokutana kwenye mashindano ya kombe la FA, Arsenal walishinda mabao manne kwa bila (0-4) huku Walcot naye akifunga mabao mawili.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment