Chelsea yamrudia Lukaku kabla ya Euro 2016.

Romelu Lukaku.
Taarifa za ndani ya klabu ya Chelsea zinaeleza kuwa iko mipango iliyopangwa na klabu hiyo ili kumrejesha mshambuliaji wao wa zamani bwana Romelu Lukaku kabla mashindano ya Euro 2016 hayajaanza. Taarifa hizo pia zinaeleza kuwa Chelsea wapo tayari kulipa kiasi cha paundi milioni hamsini (50) na imepanga kufanya hivyo mapema sana. Klabu ya Everton bado hawajaweka wazi kama watamuuza mshambuliaji huyo hatari wa Ubelgiji.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment