Real Madrid yawapa Man United na Chelsea bei ya James Rodriguez.

James Rodriguez.
Klabu ya Real Madrid imeonyesha nia ya kutaka kumuuza nyota wake James Rodriguez kwa klabu za England baada ya kutaja ada ya uhamisho wa nyota huyo kutoka nchini Colombia. Madrid imesema kuwa timu yoyote inayotaka kumsajili James Rodriguez lazima waende na kiasi cha paundi milioni sitini (60) na si vinginevyo. Manchester United na Chelsea ni miongoni mwa klabu zilizo onyesha nia ya kuhitaji huduma ya kiungo huyo na pia zinatazamiwa kufikia dau lililotajwa na Real Madrid.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment