Rooney arudi uwanjani.

Wayne Rooney.
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney amefanikiwa kurudi uwanjani baada ya kuwa nje kwa muda mrefu ambapo alikuwa akiuguza jeraha la mguu wake sehemu ya goti, Rooney alirudi uwanjani kwenye mechi ya jana ya U21 ya Manchester United na alionekana kuwa mwenye nguvu na hayuko mbali na ubora wake kitu ambacho kitamsaidia kuwa fiti kabla ya msimu kuisha na kujihakikishia namba kwenye kikosi cha Roy Hidgson kwenye Euro 2016. Rooney jana alifanikiwa kucheza kwa dakika 60 tu.


Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment