Wilshere na Rosicky warudi kwa kasi.

Jack Wilshere kwenye mechi ya jana.
Viungo wa Arsenal Jack Wilshere na mwenzake Thomas Rosicky jana walifanikiwa kurudi uwanjani na kucheza timu ya U21 kwenye mechi dhidi ya Newcastle na kufanikiwa kupata ushindi wa mabao matatu kwa moja huku Rosicky akiwa ametengeneza bao moja. Jack Wilshere alionekana mwenye nguvu sana huku akionyesha kiwango cha hali ya juu. Jack na Rosicky wamekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu sasa wakisumbuliwa na majeraha makubwa ya misuli na vifundo vya miguu.


Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment