 |
Laurent Konscielny na Aron Ramsey wakishangilia. |
Beki kisiki wa kati wa klabu ya Arsenal Laurent Koscielny amesema kama wanataka ubingwa ni lazima washinde mchezo wa leo dhidi ya mahasimu wao wa jiji la London Chelsea. Pia Koscielny amesisitiza kuwa Arsenal wanapaswa kushinda mechi zote za nyumbani kama wanataka ubingwa ukizingatia mechi za ugenini zitakuwa ni ngumu sana maana watapambana na vigogo kama Manchester United na City, Totenham na Everton. Pia Koscielny amesema wana matumaini makubwa ya kutwaa kombe la FA kwa mara ya tatu mfululizo na pia Ligi ya mabingwa ulaya (UEFA).
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment