Barca yatoa picha za uwanja wa Nou Camp utakavyokuwa baada ya kufanyiwa upanuzi na ukarabati.


Klabu ya Barcelona imetoa picha za uwanja wake wa Nou Camp utakavyokuwa baada ya ukarabati na upanuzi utakaofanyika kuanzia 2017 na kuisha 2021. Uwanja huo wa Nou Camp unatarajiwa kubeba mpaka mashabiki 105,000, Nou Camp kwa sasa inabeba zaidi ya mashabiki 98,000.




Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment