(+VIDEO) Mascherano ahukumiwa mwaka mmoja (1) jela.

Javier Mascherano akiwa mahakamani.
Mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina na beki wa kati wa klabu ya Barcelona, Javier Mascherano amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na faini ya Euro 815,000 kwa kukwepa kodi na makosa hayo aliyafanya katika miaka ya 2011 na 2012. Baada ya kusomewa mashtaka hayo Mascherano alikubali na atatakiwa pia kulipa faini hiyo huku mahakama ikisubiri kuyafanyia kazi maombi ya wakili wa Mascherano aitwaye David Aineto aliyeomba mteja wake asifungwe jela bali alipe fidia zaidi.


Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment