(+Video) Angalia namna Chelsea walivyoichapa Man City kikatili, Wapewa Everton mchezo unaofuata.


Diego Costa.
Jana kulikuwa na mchezo wa kombe la FA huko Uingereza na uliwakutanisha miamba ya ligi hiyo Chelsea dhidi ya Manchester City kwenye dimba la Stamford Bridge na kumalizika kwa klabu ya Chelsea kuichapa klabu ya Manchester City mabao matano kwa moja (5-1), mabao ya Chelsea yalifungwa na Diego Costa, Eden Hazard, Gary Cahill, Traore na Willian. Chelsea watakutana na Everton kwenye mzunguko unaofuata.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment