Wenger awapa onyo wachezaji wake dhidi ya Costa.


Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal, Arsen Wenger amewapa onyo wachezaji wake dhidi ya mshambuliaji hatari wa Chelsea, Diego Costa na kuwaambia kuwa watarajie mtifuano mkali kutoka kwa mshambuliaji huyo kutokana na makali yake bado kuwa makali. Wenger amewakumbusha wachezaji wa Arsenal kuwa Costa ni mchezaji mpambanaji na usipokuwa na nidhamu utajikuta katika wakati mgumu haswa akiwakumbusha mechi baina yao iliyopita ambapo Costa alihusika kwa kiasi kikubwa kuwamaliza Arsenal kwa kusababisha kadi nyekundu ya beki wa kati Gabriel Paulista na kufanya mambo kuwa laini kabisa kwa Chelsea na wakafanikiwa kupata ushindi wa bao mbili kwa sifuri.
"We have to be prepared for a battle because Costa gives you a fight. After that, it's down to the referee,” said the Arsenal manager."We have to focus on our performance. It's another game where people look at us and see how we behave."It will be an intense game, as usual in the Premier League. Overall, I think because of the qualities of the players on the pitch and what is at stake for both teams, it will be a very intense battle."
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment