Luka Modrich akishangilia bao alilofunga dhidi ya Granada jana usiku.
Baada ya kuipa klabu yake ushindi jana usiku katika mechi ngumu dhidi ya Granada, Luka Modrich ametakiwa kupiga mashuti mengi yanayolenga goli kuliko kupiga chenga nyingi na pia taarifa zinaeleza kuwa kwa sasa katika klabu ya Real Madrid mchezaji nyota kuliko wengine mpaka kwenye mazoezi ni kiungo huyo wa timu ya taifa ya Croatia na amekuwa akimvutia sana kocha mpya wa klabu hiyo Zinedine Zidane Zizzou. Zidane amemtaka kiungo huyo kujiamini pindi anapopiga mashuti yake maana ana uwezo mkubwa wa kufanya hivyo.
ZIDANE BAADA YA MECHI ALISEMA MANENO HAYA. "He scored a golazo and gave us life," he told reporters after the match. "Above all, he gave us three points. I'm happy for him. He has to shoot more because he has a good strike."
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment