 |
Alvaro Morata. |
Katika tetesi za leo kwenye magazeti mengi barani ulaya, kuna taarifa zimeenea kuwa Arsenal wapo tayari kutoa dau la paundi milioni hamsini (50) kwa ajili ya mshambuliaji wa klabu ya Juventus Alvaro Morata. Morata ambaye alikuwa mchezaji wa Real Madrid kabla ya kusajiliwa na Juventus amekuwa mwiba kwa klabu nyingi za barani ulaya, Arsenal wamekuwa wakivutiwa na Morata tangu akiwa Real Madrid. Taarifa hizo zinaonekana kuwa na ukweli fulani kwa kuwa Arsenal imekuwa ikiteseka sana kwenye eneo la mshambuliaji tangu Robin Van Persie aachane na klabu hiyo na kujiunga na Manchester United.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment