Klabu ya Arsenal jana walifanikiwa kuilaza klabu ya Hull City kwenye kombe la Emirates FA Cup kwa kuwachapa mabao manne kwa sifuri (0-4), Mabao hayo yalifungwa na Olivier Giroud na Walcot ambao wote walifunga mabao mawili kila mmoja.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment