 |
Cristiano Ronaldo. |
Real Madrid leo wametua katika jiji la Manchester wakijiandaa na mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Manchester City utakaopigwa katika dimba la Etihad kesho, mchezo huo utakuwa ni wa nusu fainali ya kwanza na mchezaji bora wa dunia mara tatu Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuwapo uwanjani siku ya kesho. Ronaldo alishindwa kucheza kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya Rayo Vallecano kutokana na maumivu ya nyama za paja, lakini katika safari yao ya kutua Manchester Ronaldo ameonekana kuwa mwenye furaha kuliko maelezo akiashiria kurudi uwanjani. Mechi ya kesho itapigwa mida ya saa 3:45 usiku.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment