 |
Arsene Wenger |
Kocha mkuu wa washika bunduki wa London (
Arsenal)
Arsene Wenger, jana baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya mahasimu wao wa jiji la London klabu ya
QPR, Katika mkutano na waandishi wa habari Wenger alipigwa swali na mwandishi mmoja wa habari na kumuuliza vipi kuhusu uvumi ulioenea maeneo mbalimbali kwamba straika wako
Lukas Podolski ataondoka mwisho wa msimu kutokana kwamba hapati nafasi ya kutosha katika kikosi cha kwanza? na yeye alikuwa na haya ya kusema
"Huwa siupi sana umuhimu uvumi wowote unaotokea kwa hiyo sina la kuzungumza hapo maana hata juzi nilisikia kwamba kuna uvumi umezuka huko Ufaransa kwamba nimetoa ofa ya paundi milioni 62 kwa klabu ya Paris Saint Germain (PSG) kwa ajili ya kumsajili Edinson Cavan wakati si kweli".
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment