 |
Kikosi cha Real Madrid. |
Mabingwa wa dunia kwa ngazi ya klabu, Real Madrid wamezidi kuwafunika vigogo wenzao wa ligi tano bora za ulaya baada ya kugundulika kwamba wenyewe ndio timu pekee ambayo mpaka sasa wameshafanikiwa kutumbukiza mabao zaidi ya 50 katika michezo yote waliyoingia dimbani, mpaka sasa Real Madrid wamekwisha funga mabao 55 katika ligi yao ya nyumbani na ni 14 zaidi ya mahasimu wao Fc Barcelona ambao wamefanikiwa kufunga mabao 41 tu. Real Madrid ndio klabu bora mpaka sasa katika viwango vya soka duniani kwa ngazi ya vilabu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment