Chelsea yaendeleza ubabe huko England:

Eden Hazard

eden hazard
Klabu ya Chelsea chini ya kocha wake Josee Mourinho leo imeendelea kushikilia uongozi wa ligi baada ya kuifunga timu ya Hull city jumla ya magoli mawili kwa bila (2-0) kupitia kwa winga wake machachari Eden Hazard katika dakika ya saba (7) na baadae kutengeneza bao lingine safi lililofungwa na mshambuliaji hatari Diego Costa katika dakika ya (68). Pia katika mchezo huo timu ya Hull city ilimaliza ikiwa pungufu baada ya mchezaji wao kiungo Tom Huddleston aliyeonyeshwa kadi nyekundu baada ya kucheza rafu. Ushindi huo umeifanya Chelsea kukaa kileleni ikiwa na pointi 39.

Uchambuzi na viwango vya wachezaji katika mechi:

Chelsea: Cech (6), Ivanovic (7), Filipe Luis (7), Terry (6), Cahill (6), Mikel (7), Matic (7), Willian (6), Oscar (6), Hazard (8), Costa (7).
Subs: Ramires (6), Schurrle (6), Drogba (6).
Hull City: McGregor (6), Elmohamady (5), Chester (6), Dawson (6), Davies (5), Robertson (6), Livermore (6), Huddlestone (4), Meyler (5), Jelavic (5), Aluko (7).
Subs: Bruce (5), Brady (6), Ramirez (5).
Man of the match: Eden Hazard.
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment