Lile tukio lililokuwa likisubiriwa kwa muda mrefu na wapenzi wa soka duniani kote limemalizika hivi punde na washindi wamekwishatangazwa na ni kama wafuatavyo;
MCHEZAJI BORA WA KIUME WA MWAKA 2014 (FIFA PLAYER OF THE YEAR, BALLON D`OR WINNER).
 |
Cristiano Ronaldo |
MCHEZAJI BORA WA KIKE WA MWAKA 2014.
 |
Nadine Kessler. |
KIKOSI BORA CHA MWAKA 2014.
 |
Kikosi bora cha mwaka 2014. |
KOCHA BORA WA KIUME.
 |
Joachim Low. |
KOCHA BORA KWA UPANDE WA WANAWAKE.
 |
Ralph Kellerman. |
BAO BORA LA MWAKA 2014(PUSKAS AWARD).
 |
James Rodriguez. |
Picha nyingine mbalimbali;
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment