Kampuni ya Marekani inayotabiri matokeo karibia kila msimu na msimu uliopita iliipa Chelsea ubingwa baaada ya kuchambua mechi baada ya mechi mara 10000 katika mashine zake, kipindi hiki kampuni hiyo imefanya utaratibu wake huo na kubaini kwa mechi zilizobakia inaonyesha wazi kuwa klabu ya Arsenal ina uwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa ikifuatiwa na Manchester City, Leicester City na Totenham Hotspur. Kampuni hiyo imefanya utafiti huo kwa kutumia mashine zake ambazo hutumika kila msimu na imegundua pia kuwa Manchester United, Chelsea, Liverpool hazitacheza klabu bingwa ulaya msimu ujao na klabu ya Aston Villa haitaweza kukwepa kushuka daraja.
ANGALIA KLABU YAKO IMEPEWA NAFASI YA NGAPI.
HII NDIO LIST ILIYOCHAPISHWA KWENYE GAZETI LA THE SUN KUTOKA KWA KAMPUNI HIYO.
- 1. Arsenal, 74.8 points
- 2. Manchester City, 74.1
- 3. Tottenham Hotspur, 68.3
- 4. Leicester City, 67.1
- 5. Manchester United, 65.1
- 6. Liverpool, 61.2
- 7. Chelsea, 56.5
- 8. West Ham United, 54.5
- 9. Southampton, 53.2
- 10. Stoke City, 51.6
- 11. Everton, 51.3
- 12. Crystal Palace, 50.1
- 13. Watford, 47.2
- 14. West Bromwich Albion, 43.6
- 15. Swansea City, 42.4
- 16. AFC Bournemouth, 38.7
- 17. Newcastle United, 37.7
- 18. Norwich City, 37.6
- 19. Sunderland, 33.4
- 20. Aston Villa, 27.
0 comments:
Post a Comment