Pato atua Chelsea.

Alexandre Pato.
Mshambuliaji wa kimataifa na timu ya taifa ya Brazil, Alexandre Pato anatarajia kukamilisha usajili wake wa kuhamia kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza Chelsea. Pato anatarajiwa kusaini mkataba wa miezi sita na mshahara wake unatarajiwa kuwa paundi  31,000 kwa wiki kwa wakati wote atakapokuwa hapo kwa mkopo kutokea klabu ya Corinthians. Pia Pato amesema anafurahi kutimiza ndoto yake ya kucheza ligi kuu ya Uingereza na anategemea ataanza kucheza mapema na ataizoea japokuwa hajacheza kuanzia mwezi wa kumi na moja tarehe 28.

Alexandre Pato.
"I'm here to make a dream come true," he told ESPN Brasil upon arrival at Heathrow. "Chelsea is my new home. I really want to play for them.
"I'm very happy - and very nervous. I want to meet my new team-mates so I can adapt as quickly as possible.
"Yes, it's been a while without playing, but nothing that my new colleagues can't help me with."
Share on Google Plus

About Kings

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment